Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Vita" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Vita ni mapambano baina ya nchi, mataifa au angalau vikundi vikubwa vya watu yanayoendeshwa kwa nguvu ya silaha. Katika vita kuna pande mbili au zaidi... |
Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilikuwa vita iliyodumu kuanzia mwaka 1939 hadi 1945 kati ya Ujerumani, Italia, Japani na mataifa yaliyoshikamana nazo (Romania... |
Vita za Misalaba (pia: Vita vya msalaba) vilitokea kati ya mataifa ya Wakristo wa Ulaya na watawala Waislamu wa nchi za Mashariki ya Kati wakati wa karne... |
Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia ilikuwa vita iliyopigwa kuanzia mwaka 1914 hadi 1918. Mataifa wapiganaji yalikuwa Ujerumani, Austria-Hungaria, Bulgaria na... |
Vita vya Kagera (kwa Kiingereza: kwa Kiingereza: Uganda-Tanzania War) ni vita vilivyopigwa kati ya Uganda na Tanzania kuanzia tarehe 30 Oktoba 1978 hadi... |
Vita baridi ilikuwa kipindi cha ugomvi kati ya makundi mawili ya nchi duniani miaka 1945 - 1989. Upande mmoja zilikuwa nchi zilizoshikama na Marekani:... |
Vita vya wenyewe kwa wenyewe ni vita vinayopigwa ndani ya nchi kati ya vikundi vya taifa moja, tofauti na vita vya kimataifa. Kuna aina nyingi jinsi vita... |
Vita ya Maji Maji ulikuwa upingaji mkali wa Waafrika dhidi ya utawala wa kikoloni wa Ujerumani katika maeneo ya kusini ya koloni la Afrika Mashariki ya... |
Vita ya Miaka Saba ilitokea kati ya miaka 1756 na 1763. Ilitokana na mashindano ya nchi za Ulaya ikasambaa pande nyingi za dunia. Hivyo imeitwa "Vita... |
Vita ya miaka 100 ilikuwa kipindi cha mapigano kati ya Ufaransa na Uingereza kilichodumu miaka 116 kuanzia mwaka 1337 hadi 1453. Vita ilianza kwa sababu... |
Vita ya Marekani dhidi ya Hispania ilitokea mwaka 1898. Ilianza kwa shambulizi la Marekani tarehe 25 Aprili dhidi ya Puerto Rico iliyokuwa koloni la Hispania... |
Vita ya Korea ya karne ya 20 ilitokea kati ya mwaka 1950 na 1953. Ilianzishwa na Korea ya Kaskazini iliyovamia Korea ya Kusini. Korea ya Kaskazini ilisaidiwa... |
Vita Kuu ya Dunia ni jina linalotumika kwa ajili ya vita inayohusu nchi nyingi katika sehemu mbalimbali za dunia badala ya eneo la nchi kadhaa pekee. Kwa... |
(orodha) Orodha ya vita kabla ya mwaka 1000 Orodha ya vita kati ya mwaka 1000-1499 Orodha ya vita kati ya mwaka 1500-1799 Orodha ya vita kati ya mwaka 1800-1899... |
Vita vya shura (pia: Vita vya Pasifiki) vilitokea kati ya miaka 1879 - 1884 baina ya Bolivia, Peru na Chile. Nchi hizo tatu zilipigania jangwa la Atacama... |
Vita ya Abushiri ilikuwa jaribio la wenyeji wa pwani ya Tanganyika kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889 lililokandamizwa... |
Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Marekani ilipigwa kuanzia mwaka 1861 hadi 1865 kati ya majimbo ya kusini na majimbo ya kaskazini nchini Marekani. Mwaka... |
Vita ya Krim (1853-1856; kwa Kiing. Crimean War) ilikuwa vita iliyopigwa kati ya Urusi upande mmoja na Ufaransa, Uingereza, Ufalme wa Sardinia na Milki... |
Vita vya Yom Kippur (pia: Vita vya Ramadan, Vita vya Oktoba; kwa Kiyahudi: מלחמת יום הכיפורים, Milẖemet Yom HaKipurim, au מלחמת יום כיפור, Milẖemet Yom... |
Vita kati ya Japani na Urusi ya 1905 ilipiganiwa katika Asia ya Mashariki. Japani ilishinda na Urusi ilishindwa. Ilikuwa mara ya kwanza ya kwamba taifa... |