Florini ni dutu sahili na halojeni simetali. Namba atomia yake ni 9. Katika mazingira yetu kawaida iko katika hali ya gesi yenye rangi njanokijani. Alama yake ya kikemia ni F.
Florini | |
---|---|
Jina la Elementi | Florini |
Alama | F |
Namba atomia | 96 |
Uzani atomia | 18,9984 u |
Valensi | 2, 7 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 53,53 K (−219,62 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 85,03 K (−188,12 °C) |
Kwa kawaida hupatikana kama molekuli ya F2. Kati ya elementi zote mmenyuko wake wa oksidisho ni kali sana. Tabia hii inasababisha Florini kuwa sumu kali. Inamenyuka vikali na karibu elementi zote.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Florini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Florini, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.