Ernest Shonekan

Ernest Adegunle Oladeinde Shonekan (amezaliwa tar.

9 Mei 1936 mjini Lagos, Nigeria) alikuwa rais wa tisa kwa nchi ya Nigeria. Shonekan pia ni mwanasheria aliyesomea sheria nchini Uingereza. Pia ni mmiliki wa kiwanda na pia mwanasiasa. Alichaguliwa kama rais wa muda wa Nigeria na Jeneral Ibrahim Babangida mnamo tar. 26 Agosti, mwaka 1993. Alikuwa rais kwa miezi mitatu tu.

Chief Ernest Adegunle Oladeinde Shonekan
Chief Ernest Adegunle Oladeinde Shonekan

Ernest Shonekan alitanguliwa na Ibrahim Babangida, kisha akafuatiwa na Jenerali Sani Abacha.

Ernest Shonekan Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernest Shonekan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1936199326 Agosti9 MeiIbrahim BabangidaLagosNigeriaUingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lugha ya taifaStephen WasiraUwanja wa Taifa (Tanzania)SilabiUsafiriDUmoja wa MataifaShairiUyahudiChadKiambishiKiimboChunusiMenoImaniVivumishi vya ambaUundaji wa manenoTimu ya Taifa ya Kandanda ya KenyaMkoa wa TaboraMrisho NgassaKipandausoHistoria ya KanisaKibonzoLugha ya piliMaajabu ya duniaVirusi vya UKIMWIWajitaMahariNomino za jumlaAngkor WatMasharikiUgonjwa wa uti wa mgongoUtumwaTungo sentensiTeziKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniUkoloniTetekuwangaMuziki wa dansi wa kielektronikiUaChuchu HansMtende (mti)Orodha ya Marais wa MarekaniShomari KapombeOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuNyweleMajeshi ya Ulinzi ya KenyaFatma KarumeMaana ya maishaAfrika Mashariki 1800-1845Hekaya za AbunuwasiUsanisinuruUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiKikohoziMtaalaLigi Kuu Tanzania BaraLigi ya Mabingwa AfrikaIsraelMkondo wa umemeHomoniNomino za wingiKoalaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoVincent KigosiMjombaShirikisho la MikronesiaTabianchiHistoria ya UrusiBabeliSintaksiUsafi wa mazingiraKilimoMandhariJumapili ya matawiMeno ya plastiki🡆 More