Elimu Ya Juu: Elimu ya juu ya kitaaluma, kama vile kutoka vyuo na vyuo vikuu

Elimu ya juu, yaani ile ya baada ya shule ya upili au elimu ya awamu ya tatu, si ya lazima.

Elimu hii kwa kawaida hujumulisha viwango vya shahada pamoja na elimu ya ujuzi wa kitaalamu.

Elimu Ya Juu: Elimu ya juu ya kitaaluma, kama vile kutoka vyuo na vyuo vikuu
Chuo Kikuu cha Cambridge ni taasisi ya elimu ya juu.

Kwa jumla elimu ya juu hutolewa na vyuo na vyuo vikuu na huambatana na kutolewa kwa vyeti, stashahada za diploma na shahada za digrii kitaaluma.

Masomo ya juu hujumuisha elimu, utafiti na huduma za jamii na katika uwanja wa elimu, hujumulisha viwango vya shahada ya kwanza na nyingine za juu. Elimu ya juu aghalabu huhusu kufuzu katika kiwango cha shahada ya kwanza, ya uzamili na ya uzamifu.

Idadi kubwa ya watu katika nchi zilizoendelea (hadi kufikia asilimia 50) wameweza kupata elimu ya juu wakati fulani maishani mwao. Kwa hiyo, elimu ya juu ni muhimu kwa uchumi wa taifa, ni kiwanda cha pekee ambacho huzalisha wafanyakazi walioelimika.

Katika nchi maskini au zenye uchumi wa chini serikali zinatakiwa kuongeza mikopo kwa wanafunzi wa vyuoni ili waweze kupata elimu hiyo na kusonga mbele, kwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha.

Tags:

ShahadaShule ya upili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Aina za udongoMajigamboKoroshoSikioFigoOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaSimbaElimu ya bahariNileJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKibu DenisAlama ya uakifishajiUfilipinoHerufiOksijeniUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaKishazi huruMwanamkeUfalme wa MuunganoIndonesiaSoko la watumwaBagamoyo (mji)Insha za hojaTawahudiKupatwa kwa JuaAbedi Amani KarumeMbogaMillard AyoTashihisiMkoa wa KageraTendo la ndoaJohn MagufuliUyahudiTabiaMkoa wa TangaChemsha BongoVokaliAfyaKataSoga (hadithi)KenyaOrodha ya milima ya TanzaniaRoho MtakatifuMagomeni (Dar es Salaam)Ee Mungu Nguvu YetuGoba (Ubungo)NdovuMbossoWilaya ya KigamboniFalsafaRamaniJipuFonolojiaMoshi (mji)HistoriaYoung Africans S.C.ImaniUfugajiNdoaJoziUlumbiMisriUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaVivumishi vya -a unganifuHektariArsenal FCKiwakilishi nafsiSayansiUwanja wa Taifa (Tanzania)Kinjikitile NgwaleVivumishi vya idadi🡆 More