Elementi za kundi la 12 ni kundi kwenye jedwali la elementi au mfumo radidia.
Elementi hizo ni pamoja na zinki, cadimi, zebaki, na copernici . Copernici ni elementi sintetiki, sio thabiti kwa hivyo tabia zake hazikueleweka bado. Elementi zote za kundi hilo zina kiwango cha kuyeyuka cha duni na pia kiwango cha kuchemsha cha duni. Zebaki (mercury) ni kioevu.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Elementi ya kundi la 12, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.