Eintracht Frankfurt

Eintracht Frankfurt ni klabu ya mpira wa miguu iliyopo mjini Frankfurt, Hesse, Ujerumani.

Ilianzishwa tarehe 8 Machi 1899. Timu hiyo kwa sasa inacheza katika ligi ya Bundesliga.

Eintracht Frankfurt
Nembo ya Eintracht Frankfurt

Eintracht alishinda michuano ya Ujerumani mara moja, kombe la DFB-Pokal mara tano, UEFA Europa League mara mbili na kumaliza kama mshindi wa pili katika Kombe la Ulaya mara moja. Timu hiyo ilikuwa moja kati ya wanachama waanzilishi wa ligi ya Bundesliga wakati wa kuanzishwa kwake. Na imecheza jumla ya msimu 54 na kuwafanya kuwa klabu ya saba iliyoshiriki kwa muda mrefu zaidi.

Marejeo

Eintracht Frankfurt  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Eintracht Frankfurt kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

18998 MachiBundesligaFrankfurt am MainHesseMpira wa miguuUjerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MofimuMamelodi Sundowns F.C.Luhaga Joelson MpinaAfrika ya MasharikiHarmonizeKisaweWingu (mtandao)Orodha ya nchi za AfrikaKinyongaInstagramLafudhiHistoria ya IsraelHomoniMkwawaVasco da GamaUgonjwa wa uti wa mgongoMaliasiliUwanja wa Taifa (Tanzania)Osama bin LadenKarafuuMariooMwandishiHaki za binadamuKenyaSakramentiSkeliMkondo wa umemeNgeliNileVielezi vya idadiMkoa wa ManyaraJumapiliWizara za Serikali ya TanzaniaMadiniMbuga za Taifa la TanzaniaAnwaniUNICEFJipuOrodha ya Magavana wa TanganyikaUmojaRiwayaBinamuMmomonyokoMwenge wa UhuruMisemoMuda sanifu wa duniaUfilipinoImaniBarabara nchini TanzaniaLugha ya taifaec4tgHoma ya mafuaPius MsekwaUkoloniKiharusiNomino za wingiMizimuFrederick SumayeVipaji vya Roho MtakatifuMaliNomino za jumlaSinagogiHifadhi ya mazingiraMjusi-kafiriBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiKisononoBikira MariaMkoa wa SimiyuKrioliUislamu nchini TanzaniaMichezo ya watoto🡆 More