Donald Sutherland (amezaliwa tar.
17 Julai 1935) ni mwigizaji filamu kutoka nchini Kanada. Amepata kuonekana kwenye zaidi ya filamu 100 na vipindi vya televisheni. Pia alipata kucheza kama John Bridger katika filamu ya The Italian Job. Ana mtoto wake wa kuime aitwaye Kiefer Sutherland naye ni mwigizaji wa filamu.
Donald Sutherland | |||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Donald Sutherland, 2013 | |||||||||||||||
Amezaliwa | Donald McNicol Sutherland 17 Julai 1935 Saint John, New Brunswick, Kanada | ||||||||||||||
Miaka ya kazi | 1963–hadi leo | ||||||||||||||
Ndoa | Lois Hardwick (1959–66) Shirley Douglas (1966–70) Francine Racette (1972–present) | ||||||||||||||
|
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Donald Sutherland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Donald Sutherland, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.