Diego Velázquez (Juni 1599 - 6 Agosti 1660) alikuwa mchoraji mashuhuri wa Hispania wakati wa karne ya 17.
Alikuwa mchoraji aliyependwa na mfalme Filipo IV wa Hispania akachora watu wengi wa familia ya mfalme na waungwana waliokaa kwenye jumba la kifalme. Mweyewe alioa akazaa mabinti wawili.
Alisafiri pia hadi Italia alikopokea athira mbalimbali kwa kazi yake.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Diego Velázquez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Diego Velázquez, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.