Bendera Ya Moroko

Bendera ya Moroko ni nyekundu ina nyota ya kijani yenye pembe tano katikati.

Ilitumiwa rasmi tangu 17 Novemba 1915 lakini ina historia ya karne kadhaa nchini.

Bendera Ya Moroko
Bendera ya Moroko

Rangi nyekundu ilionyeshwa tangu karne ya 17 na watawala wa familia ya Waalawi kwa sababu wanadai ni sehemu ya ukoo wa mtume Muhamad na nyekundu ni alama ya ukoo huo.

Wakati wa Moroko kuwa nchi lindwa chini ya Ufaransa nyota ya pembetano iliingizwa.

Tags:

17 Novemba1915Moroko

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Marais wa NamibiaMizimuVielezi vya namnaTanganyika African National UnionMtoni (Temeke)MazungumzoRaiaMalaikaMbossoWahaAli Hassan MwinyiJay MelodyVichekeshoReal MadridHomoniUgonjwa wa akiliWilaya ya KaratuBendera ya TanzaniaMselaSahara ya MagharibiHistoria ya AfrikaEthiopiaUtanzuUpendoFigoMtandao wa kompyutaSikioMwanamkeUtataMivighaVivumishi vya -a unganifuKengeJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMapinduzi ya ZanzibarJoseph ButikuUharibifu wa mazingiraKiambishi tamatiClatous ChamaOrodha ya makabila ya TanzaniaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiSarufiMwarobainiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoSomo la UchumiFalsafaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMajigamboElla PowellHoma ya matumboOrodha ya miji ya Afrika KusiniWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiWizara za Serikali ya TanzaniaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiSemiAzimio la ArushaMbaazi (mmea)UbaleheKombe la Mataifa ya AfrikaMkoa wa SongweHekaya za AbunuwasiMajeshi ya Ulinzi ya KenyaDiraUgonjwa wa uti wa mgongoDNAWahehe26 ApriliOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaHalmashauriMaumivu ya kiunoGabriel RuhumbikaBara la AntaktikiTreniUfugaji wa kukuWatutsi🡆 More