Ben ilikuwa albamu ya pili kutolewa na hayati mwimbaji na mtayarishaji muziki wa Kimarekani, Michael Jackson.
Albamu ilitokewa mnamo mwezi wa Agosti ya mwaka wa 1972, miezi saba tangu kutolewa kwa albamu yake ya kwanza ya Got to Be There. Kibao chake cha "Ben" kiliuza sana na ndiyo nyimbo ya kwanza ya Jackson kushika nafasi #1 nchini Marekani.
Ben | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Michael Jackson | |||||
Imetolewa | 4 Agosti 1972 | ||||
Imerekodiwa | 1971–1972 | ||||
Aina | R&B, soul, pop/rock | ||||
Urefu | 31:15 | ||||
Lebo | Motown | ||||
Mtayarishaji | Hal Davis | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Michael Jackson | |||||
| |||||
Single za kutoka katika albamu ya Ben | |||||
|
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ben (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ben (albamu), which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.