Arbeiderpartiet (Ap; Chama cha Wafanyakazi), jina kamili Det norske Arbeiderparti (Chama cha Wafanyakazi Norwei), ni chama kikubwa cha kisiasa nchini Norwei.
Kimeanzishwa huko mjini Arendal mwaka 1887 ili kuandaa wafanyakazi na kupigania jamii sawa ya ujamaa. Tangu Vita Kuu ya Pili ya Dunia Arbeiderpartiet kimekuwa chama kikubwa nchini Norwei.
Jens Stoltenberg (anayekuwa Wazairi Mkuu wa Norwei) amekuwa mkuu wa Arbeiderpartiet tangu mwaka wa 2002. Arbeiderpartiet kimeanzisha serikali pamoja na Sosialistisk Venstreparti na Senterpartiet (Stoltenberg II).
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Arbeiderpartiet, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.