Alfred Deakin

Alfred William Deakin (3 Agosti 1856 - 7 Oktoba 1919) alikuwa Waziri Mkuu wa pili wa Australia.

Alfred Deakin
Alfred Deakin.

Alizaliwa mjini Fitzroy, Melbourne, Australia. Kunako miaka ya 1890 aliisaidia Australia kuifanya kuwa nchi. Hapo awali alikuwa Jaji Mkuu, wakati huo Bw. Edmund Barton ndiyo alikuwa Waziri Mkuu, baada ya hapo Bw. Deakin akashika madaraka hayo baada ya Bw. Barton kuondoka madarakani. Deakin alikuwa Waziri Mkuu mara tatu. Serikali yake ilizanzisha fedha za Kiaustralia na jeshi la maji (navy).

Viungo vya nje

Alfred Deakin  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Deakin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Mawaziri Wakuu wa Australia Alfred Deakin 
Barton | Deakin | Watson | Reid | Fisher | Cook | Hughes | Bruce | Scullin | Lyons | Page | Menzies | Fadden | Curtin | Forde | Chifley | Holt | McEwen | Gorton | McMahon | Whitlam | Fraser | Hawke | Keating | Howard | Rudd

Tags:

185619193 Agosti7 OktobaAustralia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mnazi (mti)Mnara wa BabeliUkabailaHali ya hewaMvua ya maweJipuNgonjeraJumapiliShinikizo la juu la damuSautiMwanaumeBabeliAli KibaKiswahili26 ApriliUmoja wa KisovyetiHifadhi ya SerengetiKilimanjaro (volkeno)Joyce Lazaro NdalichakoMazingiraKamusi za KiswahiliUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiLahaja za KiswahiliMsichanaZama za MaweMaudhui katika kazi ya kifasihiWaheheUkweliKen WaliboraMwanzoKonsonantiMkoa wa TangaUlayaChristina ShushoBendera ya KenyaIsimujamiiKenyaTanzaniaMajiUkwapi na utaoMusaKoffi OlomideMrisho MpotoNdoaKamusi elezoMawasilianoAntibiotikiShahada ya AwaliWagogoKiwakilishi nafsiMtakatifu MarkoZiwa NatronFigoMalaikaInstagramMisemoOrodha ya viongoziSomo la UchumiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMichezoMatiniSarufiSentensiSheriaJiniOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMjasiriamaliNetiboliKiraiSamia Suluhu HassanLigi ya Mabingwa AfrikaVipaji vya Roho MtakatifuKassim MajaliwaHaki za watoto🡆 More