Albatrosi: Familia ya ndege wakubwa wa bahari

Jenasi 4:

Albatrosi
Albatrosi utosi-mweupe
Albatrosi utosi-mweupe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Procellariiformes (Ndege kama walinzi)
Familia: Diomedeidae (Ndege walio na mnasaba na albatrosi)
Gray, 1840
Ngazi za chini

Albatrosi (kutoka Kiing.: albatross) ni ndege wakubwa wa bahari katika familia Diomedeidae. Baina ya spishi hizi yuko ndege wenye mabawa marefu kabisa kuliko ndege wote duniani. Albatrosi Mlizi ana mabawa ambayo mawili pamoja yana urefu wa sm 310 kwa wastani na urefu mkubwa kabisa uliopimwa ulikuwa sm 370. Rangi zao zinatofautiana kutoka nyeupe na mabawa kijivu hafifu hadi mwili wote kijivucheusi. Wana domo kubwa sana lenye ncha kwa umbo la kulabu. Mirija miwili ya pua inapitia pande zote mbili za domo.

Ndege hawa huenda mbali sana wakiruka angani na wanaweza kuzunguka dunia. Hawapigi mabawa sana baada ya kuruka, lakini wananyiririka kwa mabawa yaliyonyooshwa. Huwakamata ngisi, samaki na gegereka na hula mizoga pia. Kwa kawaida albatrosi huyatengeneza matago yao kwenye visiwa vya mbali visipokaa watu wala mamalia wengine. Kabla ya kujamiiana dume na jike hutenga dansi ya kanuni kaida. Jike hulitaga yai moja tu.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ChuraNahauMsitu wa AmazonSamia Suluhu HassanSaratani ya mapafuMlongeJihadiUtegemezi wa dawa za kulevyaTupac ShakurKinembe (anatomia)Kamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniViwakilishi vya urejeshiMaadiliChawaNdege (mnyama)Homa ya matumboUtamaduni wa KitanzaniaUmaskiniDeuterokanoniSaharaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoNileUbatizoChakulaKiini cha atomuHarusiSemiJomo KenyattaUjamaaVita Kuu ya Pili ya DuniaKemikaliMajira ya baridiJuxFalsafaKiswahiliDizasta VinaMsalaba wa YesuKitubioRohoInstagramMkoa wa Dar es SalaamZana za kilimoKombe la Mataifa ya AfrikaIsraeli ya KaleOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaBoris JohnsonJamhuri ya Watu wa ZanzibarKanzuMkoa wa DodomaAntibiotikiWiki CommonsBawasiriRiwayaVipera vya semiNg'ombeBinadamuMbiu ya PasakaMwanzoUtandawaziVidonge vya majiraMaghani27 MachiUgonjwaUgonjwa wa kuharaHadithi za Mtume MuhammadAlfabetiUfugaji wa kukuOrodha ya Watakatifu wa AfrikaTenziKitabu cha ZaburiDamuAli KibaUsafi wa mazingiraWilaya za TanzaniaMisemo🡆 More