Achilei ni Mkristo wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini pamoja na Nerei.
Achilei mfiadini | |
---|---|
Watakatifu Nerei, Achilei na Domitila walivyochorwa na Peter Paul Rubens | |
Feast |
Habari zao zimesimuliwa na Papa Damaso I; kwamba walikuwa wamejiunga na jeshi, na kwa hofu walikuwa tayari kutii amri mbovu za hakimu, lakini kwa kumuongokea Mungu wa kweli, walitupilia mbali ngao, mavazi ya kijeshi na mikuki, waliacha kambi na kwa kukiri imani yao kwa Kristo, waliuawa.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 12 Mei, siku ambayo maiti zao walizikwa katika makaburi ya Domitila mjini Roma.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Achilei mfiadini, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.