3 Idiots

3 Idiots ni filamu ya mwaka 2009 kutoka Uhindi ambayo inahusu vijana watatu ambao ni Farhan, Raju na Ranchoddas (jina la utani Rancho) ambao walijiunga katika chuo cha uhandisi kiitwacho Imperial College of Engineering kilichopo jijini Delhi.

Farhan mwenyewe alitaka kuwa mpiga picha wa wanyama pori lakini alijiunga katika chuo cha uhandisi ili kuwa mhadisi ili kumridhisha baba yake wakati Raju yeye alitaka kuwa mhandisi ili apate kazi itakayo iokoa familia yake katika umaskini wakati Rancho yeye alitaka kuwa mhandisi kwa moyo wake wote. Baada ya Rancho kutoa majibu yasiyo ya kawaida darasani na mapigano ya mara kwa mara na walimu na mkurugenzi, Viru Sahastrabudhe (jina la utani Virusi) aliamua kuharibu mahusiano ya vijana hawa. Raju aliamua kujiweka mbali na Rancho, lakini wakati baba yake Raju ambaye amepooza alipata dharura ya matibabu, Rancho alimsaidia kwa msaada kutoka kwa mtoto wa mwisho Virusi aitwaye Pia, ambaye alitokea kumpenda Rancho.Mwisho wa mwaka Rancho alikuwa wa kwanza darasani wakati Farhan na Raju wakiwa wa mwisho.


Baada ya miaka kadhaa wakiwa wanakaribia kuhitimu,Rancho aliendelea kuwa zidi wenzake katika masomo. Usiku mmoja wakiwa wa melewa sana watatu hao waliingia katika nyumba ya virusi kwaniia ya Rancho kuthibitisha mapenzi yake juu ya Pia wakati, Farhan na Raju wao walikuwa wakikojua katika ukuta wa Virusi na kupiga kelele ambazo zilimuamsha Virusi na katika harakati za kukimbia virusi alimuona Farhan na Virusi akamwabia aandike barua atakayokiri makosa yake ili afukuzwe chuoni hapo au awashitaki wenzake ili wafukuzwe, Farhan aliamua kujiua lakini alipona kwa msaada wa marafiki na wanafamilia. Kwamwanzo mpya wa maisha yake Raju alifanikiwa kupata kazi wakati, Raju alipokea ofa kutoka kwa mpiga picha wake kipenzi na kupewa baraka na baba yake.


Marejeo

3 Idiots  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 3 Idiots kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

2009FilamuMwakaUhindi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ViunganishiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaAbedi Amani KarumeAli KibaHedhiUhindiMandhariOrodha ya nchi za AfrikaMfumo wa JuaOrodha ya mito nchini TanzaniaJangwaZama za MaweMkoa wa Unguja Mjini MagharibiAlama ya barabaraniUsawa wa kijinsiaAsidiVivumishi vya urejeshiPundaBarua rasmiFMMlo kamiliSarufiLafudhiSikioOrodha ya Marais wa MarekaniKitufeAzimio la kaziHekaya za AbunuwasiIraqMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaAgano la KaleLongitudoIsaWabena (Tanzania)PamboKiburiJipuUgonjwa wa kuharaKengeUKUTAUjimaDAlfabeti ya kifonetiki ya kimataifaViwakilishi vya idadiAmri KumiAngkor WatRaiaDhima ya fasihi katika maishaTafsiriKitabu cha ZaburiWahayaMohamed HusseinRaila OdingaRadiNamibiaWakingaOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaEverest (mlima)KunguniGShabaniJomo KenyattaAli Hassan MwinyiSakramentiUtamaduniUyahudiJay MelodyUrusiMagonjwa ya machoUyogaTungo kishaziUislamuNyumbaThenasharaJohn MagufuliNamba tasaIsrael🡆 More