Msimu Wa 8 24

Msimu wa nane, pia hujulikana kama Siku ya nane, ya televisheni ya Marekani ya kipindi cha 24 ilianza kutayarishwa mnamo 27 Mei 2009, na itaonyeshwa kwa mara ya kwanza tarehe 17 Januari 2010, kufuatia muundo wa kipindi hiki tangu msimu wa nne.

Msimu wa 8 wa 24
Msimu Wa 8 24
Waigizaji wa msimu wa nane
Nchi asilia Marekani
Mtandao Fox
Idadi ya sehemu 24
Msimu uliopita Msimu wa 7

Hadithi

Hadithi kuu itahusisha Jack Bauer akipambana na vitisho vya mauaji vilivyofanywa wakati wa mkutano wa amani kati ya Rais Allison Taylor wa Marekani na Rais Omar Hassan wa Jamhuri Kiislamu ya Kamistan(nchi hii si ya ukweli bali ya mwandishi wa kipindi hiki).


Msimu wa kipindi hiki utahamishiwa mji wa New York na huko afisi ya CTU itafunguliwa upya, lakini Kutokana na vikwazo vya bajeti,hakutakuwa na kurekodi matukio yoyote katika mji huu wa New York .


Matukio yataanza na kumalizika saa kumi za jioni.


Imefunuliwa kwamba Gregory Itzin atarudia jukumu lake la kumwigiza Rais mstaafu Charles Logan wakati fulani katika msimu huu.

Watayarishi

Msimu wa nane utayarishwa na televisheni ya 20th Century Fox na Imagine. Mahojiano ya hivi karibuni, Kiefer Sutherland alithibitisha kwamba msimu wa nane utafanyika punde tu baada ya matukio ya kufunga ule msimu wa saba. Kulingana na Keifer Sutherland, msimu huu unaweza kuwa wa mwisho kama waandishi hawatakuja na mawazo mazuri ya msimu wa tisa kama mashabiki wanataka mwigizo zaidi. Sutherland alisema "kuna mengi sana unaeza kumfanyia Jack (Bauer) kabla ya kupoteza ukweli wa mambo. Nadhani filamu itakuwa njia nzuri ya kumaliza hadithi hii. "


Waandalizi na waandishi Howard Gordon, Evan Katz, David Fury, Regine Coto, Brannon Braga, Brad Turner, Alex Gansa, Brian Grazer, Chip Johannessen na Patrick Harbinson washasainishwa kwa ajili ya msimu wa nane.


Pia miongoni mwa waandalizi wa kuu ni mwigizaji mkuu Kiefer Sutherland.

Waigizaji

Waigizaji wakuu

Waigizi wasaidizi

  • Daudi Anders kama Josef Bazhaev
  • Nazneen Contractor kama Kayla Hassan
  • Elisha Cuthbert kama Kim Bauer
  • Bob Gunton kama Katibu Mkuu wa Jimbo Ethan Kanin
  • Gregory Itzin kama Charles Logan
  • Domenick Lombardozzi kama John Mazoni
  • Benito Martinez kama Victor Aruz
  • Callum Keith Rennie kama Vladimir Laitanan
  • Stephen Root kama Ben Prady
  • Paulo Wesley kama Stephen
  • Jennifer Westfeldt kama Meredith Reed
  • Johnny Wu kama Phillip Lu

Video fupi

Video fupi ya kwanza iliekwa kwenye tovuti,fox.com, tarehe 28 Oktoba 2009. Video fupi iliitwa "Survive" yani kuishi tena. Mjukuu wa Jack anaonekana kuwa mkubwa kidogo kuliko alivyokuwa katika mwisho wa msimu wa saba. Pia video fupi hii inaonyesha Jack akiwa na hamu ya kurudi California na familia yake, lakini kabla ya kufanya hivyo hana budi "kuvumilia siku moja zaidi". Video hii pia inamwonyesha Chloe akifanya kazi CTU na huku akizungumza na Jack kwa simu.

Marejeo

Tags:

Msimu Wa 8 24 HadithiMsimu Wa 8 24 WatayarishiMsimu Wa 8 24 WaigizajiMsimu Wa 8 24 Video fupiMsimu Wa 8 24 MarejeoMsimu Wa 8 2424MarekaniTelevisheni

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DesturiHistoria ya Kanisa KatolikiAlfabetiKorea KusiniMaster JayManchester United F.C.Usafi wa mazingiraGhanaZana za kilimoPentekosteRamaniFamiliaViungo vinavyosafisha mwiliAfrika Mashariki 1800-1845KifupiSifa nne za KanisaNairobiAishi ManulaKongoshoKibena (Tanzania)William RutoPunyetoMawasilianoUsultani wa ZanzibarNevaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaHektariViunganishiNandyAdolf HitlerHistoria ya KanisaVipera vya semiTamthiliaNathariJay MelodyUzalendoAzimio la ArushaMtakatifu PauloPasakaDamuWafulaniNetiboliUbatizoUbepariAnthropolojiaFerbutaRihannaMofolojiaKitenziIsharaViola DavisWajitaOrodha ya makabila ya TanzaniaMlongeMoyoKitabu cha NehemiaDemokrasia ya moja kwa mojaTutukoMpira wa miguuKisuMagonjwa ya machoMfupaChupiAlama ya barabaraniJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoAsili ya KiswahiliLucky DubeKiambishiUswisiLigi Kuu Tanzania BaraKinyonga (kundinyota)MandhariUenezi wa KiswahiliUkabaila🡆 More