Utando Wa Seli

Utando wa seli ni rusu nyembamba kama ngozi inayopakana seli za viumbehai.

Majina ya Kiingereza ni cell membrane, plasma membrane au cytoplasmic membrane.

Utando Wa Seli
Utando wa seli (extracellular: Nje ya seli; Lumen of cell: Ndani ya seli; hydrophilic: ya kukubali maji; hydrophobic: ya kukataza maji)

Kazi yake ni kutenganisha ndani na nje, yaani yaliyomo ya seli na na yale yalio nje yake.

Kwa kila seli ni muhimu kukinga na kutenganisha plasma iliyopo ndani yake na athira au kemikali za nje. Seli za wanyama zinatenganishwa kati yao na utando wa seli pekee.

Kwenye seli za mimea, fungi na bakteria kuna pia ukuta wa seli nje ya utando. Ukuta wa seli (ing. cell wall) unaimarisha seli, unaongeza kinga na kuwa kama filta dhidi ya molekuli kubwa.

Utando wa seli unafanywa na safu mbili za molekuli zinazoitwa "fosfo-lipidi". Maana yake molekuli hizi zina sehemu ya fosfati upande mmoja na sehemu ya lipidi (mafuta) upande mwingine. Upande wa kifosfati inachanganya na maji lakini sehemu ya kimafuta inakataa maji. Kuna pia proteini nyingine zinazoweza kuongezwa ndani ya utando. Kwa njia hii seli inaweza kutawala ni nini inayoweza kuingia au kutoka.


Marejeo

Tags:

Seli

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Barua rasmiNandyMombasaArudhiNominoDioksidi kaboniaWamasaiAndalio la somoUturukiNchiChatGPTZabibuBurundiTausiClatous ChamaHistoria ya WapareBiblia ya KikristoAbedi Amani KarumeFutiMaji kujaa na kupwaLugha ya taifaDaudi (Biblia)Hafidh AmeirOrodha ya vitabu vya BibliaMalawiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaWajitaPesaUfugaji wa kukuKimondo cha MboziMlongeVielezi vya mahaliJacob StephenNdege (mnyama)Kondomu ya kikeKaramu ya mwishoMillard AyoHistoriaKitenzi kikuu kisaidiziMekatilili Wa MenzaMtiMapenziTabianchiHoma ya mafuaYuda IskariotiBaruaKipindi cha PasakaSaida KaroliTaswira katika fasihiAganoFananiMkoa wa Dar es SalaamNgeli za nominoKitovuMacky SallKata za Mkoa wa Dar es SalaamMbwana SamattaKukuRihannaAgano la KaleWabena (Tanzania)Unyanyasaji wa kijinsiaMzeituniHoma ya matumboUkristo barani AfrikaKoreshi MkuuKrismasiJumapili ya matawiTelevisheniUkristoAfyaVipaji vya Roho MtakatifuMichael JacksonWikimaniaMtandao wa kompyuta🡆 More