Surat

Surat ni mji wa Jimbo la Gujarat nchini Uhindi.

Uko kwenye kingo za mto Tapti, karibu na mdomo wake katika Bahari Hindi. Hivyo ilikuwa bandari muhimu lakini siku hizi maji yake hayana kina cha kutosha kwa meli kubwa. Ni jiji lenye wakazi milioni 4.5 lenyewe, na milioni 6 katika rundiko la mji. Ni mji mkubwa wa nane nchini Uhindi.

Surat
Surat
Nchi Uhindi
Jimbo / Mkoa Gujarat
Anwani ya kijiografia 21°10′12.864″N 72°49′51.819″E / 21.17024000°N 72.83106083°E / 21.17024000; 72.83106083
Kimo mita 13
Eneo km2 326.515
Wakazi 4,467,797
Msongamano wa watu 14,000/km2
Simu 91-261-XXX-XXXX
Tovuti rasmi www.suratmunicipal.gov.in

Tanbihi

Viungo vya Nje

Surat 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Surat  Surat travel guide kutoka Wikisafiri

Surat  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Surat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bahari HindiBandariGujaratJijiKinaKingoMajiMdomoMeliMilioniMjiNaneUhindi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mafuta ya wakatekumeniMohammed Gulam DewjiRené DescartesKishazi tegemeziUnju bin UnuqFalsafaTovutiKisiwa cha MafiaIsraeli ya KaleMkwawaChelsea F.C.Maradhi ya zinaaTarakilishiWanyama wa nyumbaniAsiaHaitiMbwana SamattaKalenda ya KiyahudiNamba za simu TanzaniaMalipoMasharikiViwakilishiOrodha ya nchi za AfrikaKanzuKipaimaraTarehe za maisha ya YesuWazaramoIntanetiNomino za kawaidaKalendaAgano la KaleKitunguuHistoria ya KiswahiliEe Mungu Nguvu YetuMkoa wa KilimanjaroTabianchiBunge la Afrika MasharikiOrodha ya vitabu vya BibliaDhambiHistoria ya KanisaFid QMtandao wa kompyutaYoung Africans S.C.KichochoKuhaniMeta PlatformsAlhamisi kuuMapafuMji mkuuOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaNyaniChuraMajiLahajaOrodha ya wanamuziki wa AfrikaOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoJumapili ya matawiChama cha MapinduziPijini na krioliKiwakilishi nafsiAbby ChamsKaramu ya mwishoBikira MariaBarua rasmiWilliam RutoSalamu MariaNabii Eliya🡆 More