Sunya ni kata ya Wilaya ya Kiteto katika Mkoa wa Manyara, Tanzania.
Kata hiyo inapakana na mikoa ya Tanga, Morogoro na Dodoma.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 38,167 . Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23,558 waishio humo.
Wakazi wa kata hiyo ni Wanguu, Wakagulu, Wakamba na Wamasai.
Kata za Wilaya ya Kiteto - Mkoa wa Manyara - Tanzania | ||
---|---|---|
Bwawani | Bwagamoyo | Chapakazi | Dongo | Dosidosi | Engusero | Kaloleni | Kibaya | Kijungu | Laiseri | Lengatei | Loolera | Magungu | Makame | Matui | Namelock | Ndedo | Ndirgishi | Njoro | Olboloti | Partimbo | Songambele | Sunya |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sunya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Sunya, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.