Saint Augustine ni mji mdogo uliopo kwenye mwambao wa Atlantiki katika jimbo la Florida. Idadi ya wakazi ni 12,284 (2007)
St. Augustine | |
Mahali pa mji wa Saint Augustine katika Marekani | |
Majiranukta: 29°53′39″N 81°18′48″W / 29.89417°N 81.31333°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Florida |
Wilaya | St. Johns |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 12,284 |
Tovuti: www.staugustinegovernment.com |
Mji ulianzishwa na Wahispania mnamo 1565 waliochagua jina kwa heshima la Agostino wa Hippo.
Makala hii kuhusu maeneo ya Florida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saint Augustine, Florida kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Saint Augustine, Florida, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.