Rio De Janeiro

Rio de Janeiro ni jiji kubwa la pili nchini Brazil baada ya São Paulo.

Rio De Janeiro
Sanamu ya Mwokozi.
Rio De Janeiro
Rio kutoka angani.
Rio De Janeiro
Favela-mtaa wa mabanda.

Ilikuwa mji mkuu wa nchi hadi tarehe 21 Aprili 1960. Leo ni mji mkuu wa jimbo la shirikisho la Rio de Janeiro. Mwaka 2000 rundiko la jiji lilikuwa na wakazi 5,473,909.

Rio de Janeiro ni jiji la Brazil linalojulikana zaidi kote duniani. Ni kitovu cha utalii na cha utamaduni. Kanivali yake inavuta wageni wengi kila mwaka. Mlima wa Corcovado unabeba Sanamu ya Mwokozi ambayo ni sanamu kubwa ya Yesu yenye kimo cha mita 30.

Viungo vya nje

Rio De Janeiro  Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rio de Janeiro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BrazilJijiSão Paulo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SheriaKinyongaMkoa wa ShinyangaUfilipinoSimbaMkoa wa SimiyuMkoa wa TangaVielezi vya mahaliKiharusiVitenzi vishirikishi vikamilifuKubaTreniMuda sanifu wa duniaSanaaNenoOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoRitifaaKadi za mialikoMashuke (kundinyota)MapenziWizara za Serikali ya TanzaniaDhorubaParachichiTarakilishiLondonFani (fasihi)IsimuJay MelodyC++Bendera ya ZanzibarUkooLatitudoMapenzi ya jinsia mojaBBC NewsUsawa (hisabati)UkweliRejistaLimauMichezo ya watotoMartin LutherViwakilishi vya -a unganifuYoung Africans S.C.Vita ya Maji MajiVielezi vya namnaHistoria ya MsumbijiTundaKanadaViunganishiAina za manenoReal MadridHistoriaIdi AminMange KimambiJohn MagufuliNikki wa PiliMkanda wa jeshiMohammed Gulam DewjiMbaraka MwinsheheOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaNafsiWanilambaRufiji (mto)Mamelodi Sundowns F.C.Ndoo (kundinyota)Mkoa wa LindiWimboFranco Luambo MakiadiVihisishiKiimboMbuga wa safariUgirikiHistoria ya WapareBintiWajita🡆 More