Paul Zindel (15 Mei 1936 – 27 Machi 2003) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani.
Mwaka wa 1971, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake The Effect of Gamma Rays on Man-in-the-Moon Marigolds.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Zindel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Paul Zindel, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.