Maunzingumu

Maunzingumu (pia maunzi ngumu; kwa Kiingereza: hardware) ni sehemu za kompyuta zinazoshikika .

ukarasa wa maana wa Wiki

Maunzingumu ni vifaa mbalimbali vinavyounda mashine ya kompyuta, navyo vimegawanyika katika sehemu kuu tatu:

  1. vifaa vya kuingizia data (Input devices),
  2. vifaa vya kutolea data (Output devices) na
  3. vifaa katika tarakilishi (Kadi ya mtandao, Kadi ya sauti, diski kuu).
Maunzingumu
Bongo kuu inayoitwa PDP-11-M7270.

Maunzingumu haina kazi bila programu na data za maunzilaini.

Tanbihi

Marejeo

  • Kiputuputi, Omari (2011). Kamusi Sanifu ya Kompyuta, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Toleo la Kwanza 2011, ISBN 978 9987 531 127
Maunzingumu  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KiingerezaKompyuta

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FananiShairiAngkor WatBukayo SakaKatekisimu ya Kanisa KatolikiUtoaji mimbaAngahewaKunguniKiswahiliUandishiChatuManeno sabaNchiUingerezaOrodha ya kampuni za TanzaniaKalenda ya KiislamuKombe la Mataifa ya AfrikaUfufuko wa YesuLughaIniMsamiatiSanaa za maoneshoSomo la UchumiBendera ya TanzaniaMamba (mnyama)Wilaya za TanzaniaUzazi wa mpango kwa njia asiliaWiki CommonsHafidh AmeirUkooJumaLugha za KibantuSentensiMlongeFid QAli Hassan MwinyiKrismaRwandaUfahamuVielezi vya mahaliJoseph Leonard HauleRamaniMaumivu ya kiunoWanyakyusaRoho MtakatifuUmoja wa MataifaHoma ya matumboBiasharaKorea KaskaziniHassan bin OmariTabataSiafuMr. BlueIsraeli ya KaleUkomboziUlemavuKisasiliKadi za mialikoMikoa ya TanzaniaUsultani wa ZanzibarWallah bin WallahOrodha ya maziwa ya TanzaniaBikiraAfrika KusiniHoma ya iniMkoa wa DodomaOrodha ya miji ya TanzaniaAfyaShetaniKamusiKarne ya 18🡆 More