Marlene Dietrich (27 Desemba 1901 – 6 Mei 1992) alikuwa mwigizaji filamu, mwimbaji na mburudishaji wa Kijerumani.
Anafikiriwa kuwa kama msanii wa kwanza wa Kijerumani kupata mafanikio makubwa kabisa katika Hollywood.
Marlene Dietrich | |
---|---|
Marlene mnamo 1951 | |
Amezaliwa | Marie Magdalene Dietrich 27 Desemba 1901 Ujerumani |
Amekufa | 6 Mei 1992 (umri 90) Paris, Ufaransa |
Kazi yake | Mwigizaji Mwimbaji |
Miaka ya kazi | 1919-1984 |
Ndoa | Rudolf Sieber (m.1923-1976; his death) |
Watoto | Maria Riva, born 13 Desemba 1924 |
Tovuti rasmi |
Katika msafara wake wa usanii, alianza kama mwimbaji wa kawaida na mwitikiaji katika nyimbo na mwigizaji huko mjini Berlin kunako miaka ya 1920 na vilevile katika filamu za Hollywood mnamo miaka ya 1930.
Alicheza filamu nyingi na mwishowe akaja kuwa mburudishaji wa kimataifa kati ya 1950 na 1970. Dietrich pia amekuwa kama mmoja wa waigizaji filamu muhimu sana wa karne ya 20. Taasisi ya filamu ya Marekani imempa cheo cha 9 kuwa kama mwigizaji bora filamu wa kike kwa muda wote (miaka mia moja).
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marlene Dietrich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Marlene Dietrich, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.