Linköping ni mji kubwa nchini Uswidi.
Ni mji mkubwa wa tano katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 97,428 (mwaka 2005). Kuna pia Chuo Kikuu cha Linköping. Iko kando ya Ziwa Roxen na Mfereji wa Göta .
Eneo lake ni 42.01 km². Umbali na Jiji la Stockholm ni 70 km.
Mji uliundwa mwaka 1287.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Linköping kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Linköping, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.