Lev Yashin

Lev Ivanovich Yashin (22 Oktoba 1929 - 20 Machi 1990) maarufu kama Black spider au Black Panther alikuwa golikipa kutoka nchini Urusi,wachambuzi wengi wa soka wamesema kwamba huyo ndiye golikipa bora kwa mchezo wa soka kwa kutumia mbinu zake za kuwatisha washambuliaji akiwa golini na kuruka sarakasi akiwa anaokoa mipira,na pia alikuwa mwenyekiti msaidizi wa shirikisho la mpira wa miguu Soviet.

Lev Yashin
Lev Yashin mwaka 1966

Yashin awapo golini huimarisha safu yake ya ulinzi kwa kuwafokea mabeki wake,alitoka kwenye eneo lake kwenda kuzuia mashambulizi.Alivaa mavazi meusi kuanzia kichwani mpaka miguuni ndiyo maana wakamuita "Black spider" ndiyo sababu ya umaarufu wake.

Yashin alicheza kombe la dunia mara nne kutoka 1958 mpaka 1970 na mwaka 1998 alichaguliwa kwenye timu ya dunia,FIFA inasema kwamba Yashin aliokoa penati 150 kwenye historia ya soka na hakuna golikipa aliyeweza kufanya hivyo na alipokea tuzo ya Ballon d'or na ni golikipa pekee aliyeshinda tuzo hiyo.Mwaka alichaguliwa kuwa golikipa pekee duniani.

Lev Yashin Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lev Yashin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1929199020 Machi22 OktobaGolikipaSokaUrusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa IringaMuundo wa inshaViwakilishiJumuiya ya Afrika MasharikiUgonjwa wa kuharaRayvannyOrodha ya Marais wa BurundiWasukumaLigi Kuu Tanzania BaraNyanda za Juu za Kusini TanzaniaRitifaaKadhiOrodha ya Marais wa ZambiaMachweoKipindupinduHistoria ya AfrikaMaana ya maishaKamusiBenjamin MkapaMkunduUkoloniTanganyikaSanaa za maoneshoMandhariKiboko (mnyama)BurundiHistoria ya IsraelWayahudiKapteniVirusi vya UKIMWIShambaVielezi vya mahaliAfyaBarua pepeUbaleheMaishaWajitaNge (kundinyota)IsimuMivighaUtamaduniAustraliaKidoleMkoa wa NjombeKifua kikuuMazingiraMaziwa ya mamaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaWanyamaporiFatma KarumeMswakiViwakilishi vya -a unganifuMajiNileMapinduzi ya ZanzibarUwezo wa kusoma na kuandikaUlayaMaliasiliManchester CityNafsiHarmonizeOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuPaka-kayaKaraniMgawanyo wa AfrikaMishipa ya damuMaambukizi ya njia za mkojoMapenziNgw'anamalundiStephane Aziz KiKipandausoWilaya ya NyamaganaMalaikaMkwawaOrodha ya Marais wa KenyaMartin LutherTabiaMkoa wa Singida🡆 More