Lelystad

Lelystad ni mji nchini Uholanzi na makao makuu ya mkoa wa Flevoland.

Mji una wakazi 71,000.

Lelystad
Mahali pa Lelystad katika Uholanzi
Lelystad
Nguzo ya Lely (zuil van Lely) katika kitovu cha Lelystad

Lelystad ni mji mpya ulioanzishwa mwaka 1967 na kama Flevoland yote ilijengwa kwenye "polder" yaani juu ya ardhi iliyowahi kuwa tako la bahari. Uholanzi uliongeza nchi kavu kwa kujenga malambo ndani ya bahari na kuondoa maji nyuma yake. Lelystad iko takriban mita 5 chini ya uwiano wa bahari.

Tags:

FlevolandMjiUholanzi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MaudhuiMohammed Gulam DewjiUzazi wa mpangoHistoria ya KiswahiliChristina ShushoFran BentleyTawahudiTume ya Taifa ya UchaguziDivaiAlama ya uakifishajiArudhiMahakamaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaShaaban (mwezi)Mrisho MpotoKiambishiKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniHaki za wanyamaPiramidi za GizaKamusi elezoSerikaliBahashaAwilo LongombaCAFSiasaMuungano wa Madola ya AfrikaOrodha ya Marais wa TanzaniaMasafa ya mawimbiNominoMgawanyo wa AfrikaInshaInjili ya MathayoUlayaRitifaaMichezo ya watotoJiniHistoria ya MsumbijiRiwayaNge (kundinyota)Orodha ya Marais wa UgandaMkoa wa ArushaShetaniMkoa wa PwaniOrodha ya nchi za AfrikaUbongoFranco Luambo MakiadiNembo ya TanzaniaRose MhandoMlongeKaswendeDini asilia za KiafrikaBaruaKwararaUwanja wa Taifa (Tanzania)Vivumishi vya kuoneshaMtoto wa jichoMkunduPaul MakondaBikira MariaMbaraka MwinsheheIsimujamiiBibliaNyangumiUtafitiHifadhi ya SerengetiMakabila ya IsraeliOrodha ya makabila ya TanzaniaMaambukizi ya njia za mkojoMsamiatiMkoa wa RukwaVieleziMadhehebuMkoa wa DodomaKomaHaki za binadamu🡆 More