Kurów

Kurów ni kijiji katika Poland ya Kusini-Mashariki kwenye mto wa Kurowka.

Iko katikati ya miji ya Pulawy na Lublin katika wilaya ya Lublin. Ina wakazi 2811 (2005).

Kurów
Jumba la Kale la Jumuiya
    Ukitafuta mji wa New Zealand uone Kurow.
Kurów
Mahali pa Kurow katika Poland

Katika karne ya 15 BK kijiji kilipewa cheo cha mji chini ya sheria ya mji ya Magdeburg. Katika karne ya 16 BK ikawa kati ya miji ya Poland iliyopokea Uprotestanti.

Wakati wa migawanyiko ya Poland ikawa mwanzoni chini ya Austria, baadaye chini ya Urusi. Tangu 1918 imekuwa tena sehemu ya dola la Poland iliyoanzishwa upya.

Wojciech Jaruzelski aliyekuwa kwanza waziri mkuu, halafu rais wa Poland kati ya 1981 hadi 1990 alizaliwa Kurow.

Kurów Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kurów kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Poland

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya matajiri wakubwa WaafrikaNabii EliyaMaji kujaa na kupwaDawa za mfadhaikoHoma ya dengiSenegalTarehe za maisha ya YesuUlayaNdoo (kundinyota)WanyamweziHali maadaKorea KusiniMapinduzi ya ZanzibarMkoa wa MorogoroKontuaBaraza la mawaziri TanzaniaDizasta VinaMnururishoNgamiaUtenzi wa inkishafiBotswanaTabataIdi AminBiashara ya watumwaPasakaLongitudoOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMusaKibodiTamathali za semiKanisa KatolikiMachweoMadhara ya kuvuta sigaraZama za MaweMombasaVita vya KageraJustin BieberMpira wa miguuAshokaNomino za dhahaniaKonsonantiTamthiliaDeuterokanoniBungeAbedi Amani KarumeUgaidiMbwana SamattaUandishi wa ripotiOrodha ya miji ya TanzaniaTetekuwangaSayansiKuhani mkuuMariooUpinde wa mvuaAngkor WatKichochoTovutiNomino za wingiMkoa wa MbeyaJomo KenyattaMkoa wa MaraKiungo (michezo)KisononoMbossoUsawa (hisabati)UchekiUgonjwa wa kuharaKisimaUgandaBarabara🡆 More