Hans Adolf Krebs (25 Agosti 1900 – 22 Novemba 1981) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani.
Mwaka wa 1933, kwa vile wazazi wake walikuwa Wayahudi alilazimishwa kuhamia Uingereza. Hasa alichunguza athari za kikemia ndani ya chembe hai. Mwaka wa 1953, pamoja na Fritz Lipmann alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1958 alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hans Krebs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Hans Krebs, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.