Goribe ni kata ya Wilaya ya Rorya katika Mkoa wa Mara, Tanzania, yenye postikodi namba 31312.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 12,377 . Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,915 waishio humo.
Kuna shule moja ya sekondari. Kuna zahanati mbili za Panyakoo na Tatwe. Kuna Parokia ya Kanisa Katoliki iliyoanzishwa na wamisionari wa Maryknoll mwaka 1959.
Kata za Wilaya ya Rorya - Mkoa wa Mara - Tanzania | ||
---|---|---|
Baraki * Bukura * Bukwe * Goribe * Ikoma * Kigunga * Kinyenche * Kirogo * Kisumwa * Kitembe * Komuge * Koryo * Kyangasaga * Kyang'ombe * Mirare * Mkoma * Nyaburongo * Nyahongo * Nyamagaro * Nyamtinga * Nyamunga * Nyathorongo * Raranya * Rabour * Roche * Tai |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Goribe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Goribe, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.