'
Carl Bosch | |
---|---|
Carl Bosch (1931) | |
Amezaliwa | 27 Agosti 1874 |
Amefariki | 26 Aprili 1940 |
Kazi yake | mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani |
Carl Bosch (27 Agosti 1874 – 26 Aprili 1940) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza njia za usanisi kwa kanieneo kubwa. Mwaka wa 1931, pamoja na Friedrich Bergius alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carl Bosch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Carl Bosch, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.