Boeing: Kampuni ya kutengeneza ndege nchini Marekani

Boeing ni kampuni nchini Marekani ya kutengeneza eropleni, helikopta, roketi na vifaa vingine kwa matumizi ya kiraia na ya kijeshi kwa usafiri wa hewani na kwenye anga-nje.

Ni kampuni kubwa duniani ya aina hii; katika utengenezaji wa ndege za abiria pekee ina nafasi ya pili baada ya Airbus ya Ulaya.

Boeing: Kampuni ya kutengeneza ndege nchini Marekani
Boeing 737
Boeing: Kampuni ya kutengeneza ndege nchini Marekani
Kiwanda kikubwa cha Boeing mjini Everett, Washington katika Marekani.

Makao makuu ya kampuni yalikuwepo Seattle, Washington lakini tangu 2001 yalihamishwa kwenda Chicago.

Modeli za Boeing zinazojulikana sana ni pamoja na

  • Boeing 707 (haitengenezwi tena)
  • Boeing 717 (haitengenezwi tena)
  • Boeing 727 (haitengenezwi tena)
  • Boeing 737 (iliyotengenezwa mara nyingi kushinda modeli zote)
  • Boeing 747 (inajulikana kama 'Jumbo Jet')
  • Boeing 757 ((haitengenezwi tena))
  • Boeing 767
  • Boeing 777 (inajulikana pia kama "Triple Seven")
  • Boeing 787 (inajulikana pia kama "Dreamliner")
  • Boeing F/A-18 Hornet
  • Boeing F-15 Eagle
  • Boeing KC-135 Stratotanker
  • Boeing X-37 (inajulikana kama orbital test vehicle) imezinduliwa tarehe 22 Aprili 2010.

Tanbihi

Tags:

AbiriaAirbusAnga la njeDunianiEropleniHelikoptaHewaKampuniMarekaniNdege (uanahewa)RoketiUlayaUsafiriVifaa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kiolwa cha anganiRita wa CasciaMfumo katika sokaMange KimambiYoung Africans S.C.Mikoa ya TanzaniaPentekosteMofimuShairiUmoja wa AfrikaUkoloniWilaya ya Nzega VijijiniUtandawaziSaidi NtibazonkizaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaTabataTafakuriHalmashauriSaida KaroliMarie AntoinetteBaraza la mawaziri TanzaniaKanga (ndege)MarekaniOrodha ya viongoziNomino za jumlaOrodha ya nchi za AfrikaNgano (hadithi)AmfibiaWashambaaNguruweTanganyikaKishazi huruMoyoTanganyika (maana)Uzazi wa mpangoHistoria ya KiswahiliMishipa ya damuMwanamkeRoho MtakatifuBawasiriAndalio la somoPaul MakondaMungu ibariki Afrika25 ApriliOrodha ya Marais wa TanzaniaKata za Mkoa wa Dar es SalaamMkoa wa TangaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniShinikizo la juu la damuHistoria ya WapareWabunge wa Tanzania 2020MaktabaNyegeVitendawiliAlfabetiMshubiriMuda sanifu wa duniaShangaziNduniUshairiMichael JacksonKiingerezaMbadili jinsiaAlomofuVieleziAbedi Amani KarumeJokate MwegeloUtamaduniNgono zembeLigi Kuu Uingereza (EPL)Mkoa wa LindiRayvannyUgonjwa wa uti wa mgongoJohn Magufuli🡆 More