Mkoa Bié

Bié ni mkoa wa Angola wenye eneo la km² 70,314 na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya lakhi nane na milioni moja.

Mkoa wa Bie katika Angola
Mkoa wa Bie katika Angola

Makao makuu ya mkoa yako mjini Kuito (Cuito).

Hali ya hewa haina joto kali kutokana na milima na mvua ya mara kwa mara. Hayo yote huwezesha kilimo cha mahindi, karanga, miwa, kahawa na mpunga.

Mkoa ni sehemu ya Nyanda za Juu za Bie. Kuna njia ya reli kati ya mkoa na pwani.

Miji mikubwa zaidi mkoani ni:

Nyumba ya mwenyekiti wa chama cha UNITA Isaias Samakuva iko mkoani kwenye mji wa Kunji.

Viungo vya Nje


Mkoa Bié  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bié (mkoa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AngolaKm²Lakhi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Marais wa TanzaniaMizimuMadhara ya kuvuta sigaraWimboTanganyika African National UnionNishatiMnururishoSamia Suluhu HassanDodoma (mji)Vivumishi vya kumilikiVivumishi vya pekeeNdiziKibodiTabianchiMeno ya plastikiUtumbo mwembambaUkoloni MamboleoMakkaSomaliaLatitudoMnjugu-maweWellu SengoSoko la watumwaWabena (Tanzania)TungoLugha ya taifaCSaa za Afrika MasharikiKata za Mkoa wa MorogoroUshogaKomaMfumo wa upumuajiKaswendeBawasiriIsraeli ya KaleDakuShetaniSalama JabirUfaransaMchezoWajitaPasakaUingerezaMpira wa miguuMofimuUkrainePapaMsumbijiPamboUtandawaziUundaji wa manenoTungo sentensiNgome ya YesuAmaniShengKiarabuKanga (ndege)GhubaLugha za KibantuKisimaKinuUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaKalenda ya KiislamuHoma ya iniKamusi ya Kiswahili - KiingerezaUtendi wa Fumo LiyongoJamhuri ya Watu wa ZanzibarUsawa (hisabati)Vasco da GamaMalaikaTanganyika (ziwa)PikipikiUtegemezi wa dawa za kulevyaMamaliaPijini na krioliMnyamaMtandao wa kijamii🡆 More