Hii ni orodha ya mikoa ya Angola.
Mikoa (provincias) ni 18, ambayo inagawanyika kwanza katika wilaya (municipios) 162 halafu katika kata (comunas) 559.
# | Mkoa | Mji mkuu | Eneo (km²) | Idadi ya watu (1992) | Ramani |
---|---|---|---|---|---|
1 | Bengo | Caxito | 31.371 | 196.100 | |
2 | Benguela | Benguela | 31.788 | 656.600 | |
3 | Bié | Kuito | 70.314 | 1.119.800 | |
4 | Kabinda | Kabinda | 7270 | 152.100 | |
5 | Cuando Cubango | Menongue | 199.049 | 139.600 | |
6 | Cuanza Kaskazini | N'dalatando | 24.190 | 385.200 | |
7 | Cuanza Kusini | Sumbe | 55.660 | 694.500 | |
8 | Cunene | Ondjiva | 89.342 | 241.200 | |
9 | Huambo | Huambo | 34.274 | 1.521.000 | |
10 | Huíla | Lubango | 75.002 | 885.100 | |
11 | Luanda | Luanda | 2418 | 1.588.600 | |
12 | Lunda Kaskazini | Lucapa | 102.783 | 305.900 | |
13 | Lunda Kusini | Saurimo | 45.649 | 169.100 | |
14 | Malanje | Malanje | 97.602 | 37.684 | |
15 | Moxico | Luena | 223.023 | 319.300 | |
16 | Namibe | Namibe | 58.137 | 107.300 | |
17 | Uíge | Uíge | 58.698 | 802.700 | |
18 | Zaire | M'banza-Kongo | 40.130 | 237.500 |
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mikoa ya Angola kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mikoa ya Angola, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.