Bendera ya Denmark au Danebrog ni ya rangi nyekundu yenye msalaba mweupe ndani yake.
Muundo wa bendera hii imechukuliwa kama mfano na nchi zote za Skandinavia.
Danebrog inasemekana kuwa bendera ya kitaifa ya kale ya dunia inayoendelea kutumiwa tangu karne ya 14 BK hado leo bila mabadiliko.
Hadithi ya kale inasema ya kwamba wakati wa vita ya Denmark huko Estonia bendera hii ilianguka kutoka angani mwaka 1219 wakati wa kipindi kigumu katika mapigano hivyo ikawapa Wadenmark moyo na kuleta ushindi.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Bendera ya Denmark, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.