Azam One ni kituo cha matangazo ya televisheni kinachorusha matangazo yake katika nchi za Afrika mashariki.
Kituo hiki cha televisheni kinamilikiwa na kampuni ya Azam Media Group ambayo ni mali ya mfanyabiashara tajiri wa nchini Tanzania aitwaye Said Salim Bakhresa.
Kampuni hiyo inamiliki king'amuzi cha Azam, pia inamiliki kituo kingine cha matangazo ya televisheni kiitwacho Azam Two. Pia ina vituo vingine kama vile Sinema zetu, Azam Sports HD na Azam sports HD 2.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Azam One kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Azam One, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.