Azadi

Azadi ni uwanja wa soka unaopatikana huko Tehran, mji mkuu wa Iran.

Ndio uwanja wa nyumbani wa soka wa timu ya taifa ya Iran.

Azadi
Uwanja wa Azadi.

Una uwezo wa kuchukua watazamaji 100,000, ingawa umeweza kutumikia wengi zaidi wakati wa mechi maalum.

Uwanja huu una sehemu ya mafunzo ya mpira wa miguu, vituo vya kuogelea na uwanja wa volleyball na michezo mingineyo.

Azadi Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Azadi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

IranMji mkuuSokaTehranTimu ya taifa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MbooMavaziBarabara nchini TanzaniaGeorge Boniface SimbachaweneNembo ya TanzaniaKaswendeNguvaVielezi vya idadiWakingaHistoria ya KiswahiliShukuru KawambwaSisimiziSitiariNduniHaki za binadamuMkurugenziAzimio la ArushaMawasilianoMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaIntanetiUkooMohammed Gulam DewjiRayvannyMuundo wa inshaLigi ya Mabingwa AfrikaShikamooNyangumiMlongeBustaniMbeya (mji)Cristiano RonaldoHerufiUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Viwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Uandishi wa ripotiWilaya ya KaratuElimu ya watu wazimaKidole cha kati cha kandoUsawa (hisabati)UkristoTabainiHoma ya iniMkoa wa Dar es SalaamWhatsAppAmani Abeid KarumeAgano la KaleWingu (mtandao)Historia ya WapareTaswira katika fasihiOrodha ya majimbo ya MarekaniViwakilishi vya -a unganifuKitenzi kishirikishiStephane Aziz KiKylian MbappéKidoleHuduma ya kwanzaMaudhui katika kazi ya kifasihiTulia AcksonMaliasiliMaradhi ya zinaaInstagramAli KibaUfahamuWarakaUgonjwa wa akiliBinamuFacebookWaluoKipindupinduOrodha ya miji ya Afrika KusiniMillard AyoKinjikitile NgwaleKombe la Mataifa ya AfrikaAsia🡆 More