Abba Sehma

Abba Sehma alikuwa mmonaki aliyefanya umisionari katika Ethiopia ya leo akaanzisha monasteri chini ya kanuni ya Pakomi huko Sedenya.

Ni kati ya kundi la Watakatifu Tisa wa Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia wanaosemekana kukimbilia nchi hiyo kutoka sehemu mbalimbali za Dola la Roma kutokana na dhuluma zilizofuata Mtaguso wa Kalsedonia (451). Wengine ni Abba Panteleoni, Abba 'Aléf, Abba Gärima, Abba Guba, Abba Liqanos, Abba Aregawi, Abba Aftse, Abba Yäm'ata (Yemata). Wote walikuwa wamonaki wasomi waliohuisha Ukristo wa Ethiopia. Wanasemekana kuwa ndio watafsiri wa Agano Jipya kwenda lugha ya Ge'ez.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Tazama pia

Tanbihi

Abba Sehma  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

EthiopiaKanuniMmonakiMonasteriPakomiUmisionari

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KibodiMsalabaUtoaji mimbaWhatsAppNyweleRobin WilliamsMr. BlueKitenzi kishirikishiMotoVasco da GamaMashuke (kundinyota)MapenziKuraniBendera ya TanzaniaAli KibaBata MzingaHijabuSayariPasifikiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaPunyetoUshairiSamia Suluhu HassanVihisishiSisimiziLughaTarehe za maisha ya YesuChuraHektariWameru (Tanzania)HarmonizeKamusiKanzuBarua rasmiRisalaUaOrodha ya Marais wa BurundiJiniKilwa KivinjeYesuMikoa ya TanzaniaSilabiNdoo (kundinyota)SarufiMsalaba wa YesuTungo kiraiKwaresimaKilimoMafarisayoOrodha ya makabila ya TanzaniaTwigaKadi za mialikoUkomboziOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaAWayback MachineMendeMkoa wa KageraGesi asiliaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMaana ya maishaNahauWanyama wa nyumbaniUkristoMacky SallJohn Raphael BoccoMadhara ya kuvuta sigaraMethaliMmeaMwanza (mji)Maambukizi nyemeleziUhuru wa TanganyikaJakaya Kikwete🡆 More