Uchongaji ni aina mojawapo ya sanaa ambayo inatengeneza umbo la kupendeza kutokana na vitu rafu, kama vile mawe au mbao.
Sanaa hiyo ni ya zamani sana, lakini inazidi kuona njia mpya.
Uchongaji umekuwa wa msingi kwa tamaduni nyingi. Katika karne zilizopita sanamu kubwa za bei ghali ziliundwa kwa ajili ya watu binafsi, kwa kawaida zilikuwa mahususi kwa maonyesho ya dini au siasa.
Tamaduni hizo, ambazo sanamu zake zimesalia kwa wingi, ni pamoja na tamaduni za kale za Mediterania, India na Uchina, na pia nyingi za Amerika ya Kati na Kusini na Afrika.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uchongaji, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.