UNIX ni mfumo wa uendeshaji wa kompyuta.
Ulianzishwa mwaka 1969 na Ken Thompson, Dennis Ritchie, Douglas McIlroy na wengine wengi huko Bell Labs. Walitumia lugha ya msimbo au ishara za ufupisho kuiandika.
Mwaka wa 1972, ishara za Unix zilirekebishwa tena na lugha mpya ya programu ya C.
Mfumo wa uendeshaji wa Unix ni mfumo wa watumiaji wengi na kufanya kazi kutumia kichakato zaidi ya kimoja. Hii inamaanisha inaweza kuendesha mipango kadhaa ya programu kwa wakati mmoja, kwa mtumiaji zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Pia ina uwezo wa kufanya vizuri katika mtandao wa kompyuta.
Usalama wa kompyuta pia ni muhimu kwenye Unix, kwa sababu watu wengi wanaweza kuitumia hiyo, kwa kutumia kompyuta moja kwa moja au kwenye mtandao.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article UNIX, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.