Tokomeza Ukatili Wa Kijinsia: Kampeni ya Kupinga Ukatili dhidi ya wanawake

Tokomeza Ukatili wa Kijinsia ni kampeni ya kimataifa inayosimamiwa na Shirika la kutetea Haki za Binadamu duniani, kampeni hii imelenga kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake.

Kampeni hii ilizinduliwa rasmi tarehe 5 Machi 2004 ikiwa ni katika maaandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, shirika la kutetea haki za binadamu linaamini kwamba Ukatili dhidi ya Wanawake ni kinyume na haki za Binadamu,pia shirika hili lina wasi wasi kuwa matukio mengi ya Ukatili dhidi ya wanawake yalitokea katika kipindi cha Vita vya Kongo na machafuko ya Darfur.

Viungo vya Nje

Marejeo

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WayahudiWagogoOrodha ya majimbo ya MarekaniJuxOrodha ya shule nchini TanzaniaSaharaWaanglikanaMbossoAbedi Amani KarumeMr. BluePichaMombasaNungununguNambaFonimuMungu ibariki AfrikaJomo KenyattaWayback MachineHistoria ya WasanguUkoloniBiblia ya KikristoBikiraMaadiliJipuCristiano RonaldoUmaOrodha ya kampuni za TanzaniaAganoTwigaTungoTeknolojia ya habariMnururishoAfrika Mashariki 1800-1845RohoUwanja wa Taifa (Tanzania)YesuUnyanyasaji wa kijinsiaWenguShereheShirika la Utangazaji TanzaniaLigi Kuu Uingereza (EPL)RihannaNdiziTashdidiVivumishi vya -a unganifuSiafuTovutiSaidi NtibazonkizaAnna MakindaHistoria ya AfrikaNabii IsayaNyaniKihusishiUsiku wa PasakaBoris JohnsonOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMatamshiHaikuMkoa wa MbeyaIsaWasukumaWanyama wa nyumbaniOrodha ya viongoziNdoo (kundinyota)William RutoMkoa wa SingidaWahaKidole cha kati cha kandoMahakama ya TanzaniaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiDuniaUNICEFSiku tatu kuu za PasakaAC MilanPicha takatifuImani🡆 More