Teresa Zhang Hezhi

Teresa Zhang Hezhi (Yuan, 1864 hivi - Zhangjiaji, 16 Julai 1900) alikuwa mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia.

Teresa Zhang Hezhi
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Aliburutwa hadi ndani ya hekalu ili aabudu miungu iliyokuwemo, lakini alikataa katakata na kwa ajili hiyo alichomwa kwa mkuki pamoja na wanae wawili.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake.

Tazama pia

Tanbihi

Teresa Zhang Hezhi  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

16 Julai18641900ChinaMwanamkeUasi wa MabondiaUkristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Soko la watumwaVita Kuu ya Pili ya DuniaGBendera ya TanzaniaMalariaNidhamuNg'ombeMtaalaOrodha ya nchi za AfrikaInternet Movie DatabaseNandyVivumishi vya -a unganifuHektariWikiUundaji wa manenoDemokrasiaKoalaCédric BakambuMaadiliSimba S.C.NamibiaMnyamaParisKen WaliboraVivumishi vya ambaKisimaOrodha ya vitabu vya BibliaUchawiHali maadaVasco da GamaPonografiaMizimuAlomofuLafudhiAli Mirza WorldZama za MaweKodi (ushuru)Mkoa wa TaboraMsituPanziFonimuShomari KapombePikipikiMkoa wa ShinyangaUsafiriUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiKisononoUtumbo mwembambaTiba asilia ya homoniKinuMichael JacksonChakulaHistoria ya UrusiSaida KaroliTabianchiUKUTAMgawanyo wa AfrikaMimba kuharibikaWangoniMchezoUyogaShabaniHekaya za AbunuwasiBiblia ya KikristoViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Injili ya LukaUenezi wa KiswahiliMbeguMkoa wa KigomaNgonjeraMusaKishazi huruSumbawanga (mji)🡆 More