Sherif Ismail Mohamed (matamshi ya Kiarabu: ; 6 Julai 1955 — 4 Februari 2023) alikuwa mhandisi wa Misri ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Misri kati ya miaka 2015 na 2018.
Hapo awali alikuwa waziri wa petroli na rasilimali za madini kutoka 2013 hadi 2015.
Ismail alisomea uhandisi wa mitambo katika Chuo Kikuu cha Ain Shams na kuhitimu mwaka 1978. Alihudumu nyadhifa za usimamizi kwenye makampuni ya serikali ya petrochemical na gesi asilia. Alihudumu kama naibu mwenyekiti mtendaji na kisha mwenyekiti wa kampuni inayomilikiwa na Misri ya kemikali za petroli (ECHEM), ambayo ilianzishwa mnamo 2002. Baadaye aliteuliwa kuwa mwenyekiti wa Kampuni Hodhi ya Gesi Asilia ya Misri (EGAS).
Media related to Sherif Ismail at Wiki Commons
Ofisi za Kisiasa | ||
---|---|---|
Alitanguliwa na Ibrahim Mahlab | Waziri mkuu wa Misri 2015–2018 | Akafuatiwa na Moustafa Madbouly |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sherif Ismail kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Sherif Ismail, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.