Rosa Parks

Rosa Louise McCauley Parks (4 Februari 1913 – 24 Oktoba 2005) anakumbukwa kwa uamuzi wake wa kukataa kumpisha kiti Mmarekani Mweupe kama alivyodaiwa na dereva wa basi.

Uamuzi wake huo hapo mwaka 1955 ulipelekea mzozo uliosababisha Mgomo wa Mabasi wa Montgomery na kuchangia katika Vuguvugu la Haki za Kiraia Marekani. Baada ya kitendo chake cha kukataa kumpa mtu mweupe kiti ndani ya basi na Mgomo wa Montgomery uliodumu kwa mwaka, Mahakama ya Marekani ilitamka kuwa sheria za ubaguzi ndani ya mabasi huko Alabama na Montgomery zilikiuka katiba.

Rosa Parks
Rosa Parks
Amekufa 24 Oktoba 2005
Nchi Marekani
Kazi yake Mwana arakati wa marekani

Viungo vya nje

Tags:

19131955200524 Oktoba4 Februari

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Wameru (Tanzania)Historia ya WapareFamiliaMachweoKata za Mkoa wa Dar es SalaamKontuaFonolojiaSiasaHistoria ya IsraelMajiVielezi vya mahaliOrodha ya miji ya MarekaniUbongoIndonesiaUingerezaHaki za binadamuDeuterokanoniMwanza (mji)DuniaOrodha ya shule nchini TanzaniaMamlaka ya Mapato ya TanzaniaKukuTendo la ndoaUfahamuKuraniMkungaShengKifo cha YesuEkaristiAgano la KaleUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaUgaidiItaliaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoLatitudoTajikistanAlomofuTarafaBasilika la Mt. PauloKunguniBibliaUkatiliUlumbiVichekeshoTreniMbeya (mji)Jamhuri ya Watu wa ChinaHafidh AmeirJumamosi kuuMendeIntanetiWahaUtegemezi wa dawa za kulevyaMohamed HusseinBiashara ya watumwaUzazi wa mpango kwa njia asiliaAzimio la kaziMr. BlueVidonda vya tumboKitabu cha ZaburiTanzaniaHifadhi ya SerengetiChama cha MapinduziArusha (mji)MazingiraSteven KanumbaWagogoMatamshiImaniMalariaUbaleheNungununguKaswendeMkoa wa MtwaraVita Kuu ya Pili ya Dunia🡆 More