Rocky Mountains

Rocky Mountains (Kiing.

Mara nyingi hutazamiwa kuanza katika jimbo la British Columbia upande wa magharibi wa Kanada huelekea kusini hadi jimbo la New Mexico la Marekani. Urefu wa safu hii ni takriban kilomita 4,800. Mara nyingi hata milima ya Alaska na pia ya Meksiko ya kaskazini huhesabiwa kuwa sehemu za nje za Rockies.

Rocky Mountains
Milima ya Miamba
Rocky Mountains
Mahali pa Rocky Mountains yenyewe
Rocky Mountains
Ziwa Moraine katika Rockies za jimbo la Alberta - Kanada

Mlima mrefu ni Mount Elbert katika jimbo la Colorado mwenye kimo cha mita 4,401 juu ya UB. Mlima mkubwa katika Kanada ni Mount Robson wa British Columbia mwenye kimo cha mita 3,954.

Kijiolojia Rockies zimejitokeza kutokana kwa kugongana kwa mabamba ya gandunia yaani bamba la Pasifiki na bamba la Amerika ya Kaskazini. Mshtuko wa kugongana au kusukumana kwa mabamba haya yamekunja uso wa ardhi na kuzaa safu hii ya milima.


Rocky Mountains Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rocky Mountains kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Amerika ya KaskaziniBritish ColumbiaKanadaKiing.MarekaniNew MexicoPasifikiSafu ya milima

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uenezi wa KiswahiliMungu ibariki AfrikaYombo VitukaOrodha ya Marais wa MarekaniFisiMaskiniAl Ahly SCFranco Luambo MakiadiLahaja za KiswahiliKhadija KopaMkoa wa TaboraVitenzi vishiriki vipungufuFatma KarumeAbedi Amani KarumeKinyonga (kundinyota)Awilo LongombaInshaKiingerezaWaheheGeorge Boniface SimbachaweneViwakilishi vya idadiMapambano kati ya Israeli na PalestinaSamia Suluhu HassanOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUislamuNungununguLakabuLigi ya Mabingwa UlayaOrodha ya Watakatifu wa AfrikaMajigamboTenziVivumishi vya idadiWanyaturuUpinde wa mvuaNdoaKigoma-UjijiNjia ya MachoziNduniElimu ya kujitegemeaKadhiVietnamMuundo wa inshaMjusi-kafiriLughaMkanda wa jeshiWilaya za TanzaniaKen WaliboraKampuni ya Huduma za MeliPemba (kisiwa)Dhima ya fasihi katika maishaMsikitiChama cha Kijamaa-Kidemokrasia cha UjerumaniBarabara nchini TanzaniaNikki wa PiliUgonjwa wa akiliMkoa wa IringaMkunduHalmashauriUlumbiHekalu la YerusalemuMkoa wa MtwaraWatutsiSimba S.C.Vitendawiliec4tgOrodha ya Marais wa KenyaAli KibaMashuke (kundinyota)Azimio la ArushaKrioliMkoa wa Lindi🡆 More