Phil Foden: Mchezaji wa soka kutoka nchini Uingereza

Philip Walter Foden (alizaliwa 20 Mei, 2000) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa klabu Manchester City na timu ya taifa ya chini ya miaka 21 ya Uingereza.

Phil Foden: Mchezaji wa soka kutoka nchini Uingereza
Phil Foden

Alizaliwa huko Stockport, Foden ndiye mchezaji kijana kuliko wate wa Manchester City, alijiunga na klabu akiwa na umri wa miaka nane.

Alipata elimu kwenye Chuo kikuu cha St Bede, na ada yake ya masomo ililipwa na klabu hiyo.


Phil Foden: Mchezaji wa soka kutoka nchini Uingereza Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Phil Foden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

20 Mei2000Manchester CityMchezajiSokaTimu ya taifaUingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TamthiliaBungeWahaPasakaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaUaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaBenjamin MkapaUwanja wa Taifa (Tanzania)RisalaMadiniFananiNimoniaPesaLughaMishipa ya damuUfugajiWanyakyusaVipera vya semiHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoSamia Suluhu HassanNahauMkwawaSoko la watumwaMzabibuKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMachweoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaJumuiya ya Afrika MasharikiSimbaPumuUjimaNominoPijini na krioliUzazi wa mpangoNomino za kawaidaSiriRupiaTarafaKimeng'enyaBaruaWanyaturuArsenal FCHaitiDhima ya fasihi katika maishaMikoa ya TanzaniaWema SepetuSakramentiBongo FlavaNabii EliyaJoyce Lazaro NdalichakoTanganyika (maana)PasifikiSinagogiElimuZakaBikiravvjndFani (fasihi)NyotaMkoa wa MaraSerikaliGeorDavieNguzo tano za UislamuKanisaMkoa wa NjombeKhalifaKariakooUpepoVivumishi vya kuoneshaJava (lugha ya programu)MizimuMkoa wa SimiyuMuungano wa Tanganyika na Zanzibar🡆 More