Ogimachi (18 Juni 1517 – 6 Februari 1593) alikuwa mfalme mkuu wa 106 (Tenno) wa Japani.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Michihito. Tarehe 27 Oktoba 1557 alimfuata baba yake, Go-Nara, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 17 Desemba 1586. Aliyemfuata ni mjukuu wake, Go-Yozei.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ogimachi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ogimachi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.