Mzumbe

Mzumbe ni kata ya Wilaya ya Mvomero katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67311.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 19,677 .Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,056 walioishi humo.

Mzumbe ilikuwa mahali pa chuo cha utawala (Local Government School) kilichoanzishwa mwaka 1953 wakati wa Tanganyika kuwa chini ya Uingereza kilichoendelea kuwa "Institute of Development Management (IDM-Mzumbe)"; tangu mwaka 2001 hadhi ya taasisi ilipandishwa tena kuwa chuo kikuu cha Mzumbe University.

Mzumbe ina watu wa makabila mbalimbali, lakini hasa ni asili ya kabila la Waluguru.

Marejeo

Mzumbe  Kata za Wilaya ya Mvomero - Mkoa wa Morogoro - Tanzania Mzumbe 

Bunduki | Dakawa | Diongoya | Doma | Hembeti | Homboza | Kanga | Kibati | Kikeo | Kinda | Kweuma | Langali | Luale | Lubungo | Mangae | Maskati | Melela | Mgeta | Mhonda | Mkindo | Mlali | Msongozi | Mtibwa | Mvomero | Mziha | Mzumbe | Nyandira | Pemba | Sungaji | Tchenzema


Mzumbe  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mzumbe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Mkoa wa MorogoroPostikodi TanzaniaTanzaniaWilaya ya Mvomero

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mohammed Gulam DewjiOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaOrodha ya kampuni za TanzaniaWairaqwAzimio la ArushaPeasiAnna MakindaAbedi Amani KarumeDawa za mfadhaikoSilabiKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaHektariWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiFasihi simuliziNchiUkristo barani AfrikaSerikaliRaiaUnju bin UnuqWimboWaheheUenezi wa KiswahiliShereheAlhamisi kuuTundaVirusiAlfabetiMapafuFonolojiaUtandawaziOrodha ya milima mirefu dunianiKanzuKiumbehaiLahajaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMbossoWameru (Tanzania)HarusiBabeliMsumbijiHistoria ya TanzaniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaKorea KusiniWilliam RutoGesi asiliaJay MelodyMarekaniMeena AllyShirikisho la Afrika MasharikiMazingiraVitenzi vishiriki vipungufuNyegereLahaja za KiswahiliAganoJackie ChanJumuiya ya Afrika MasharikiHarmonizeHassan bin OmariAfrika Mashariki 1800-1845Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Tungo kiraiSanaa za maoneshoKiswahiliKiambishiAli Hassan MwinyiWhatsAppAC MilanMkungaUkomboziKidole cha kati cha kandoBaraza la mawaziri TanzaniaWasafwaMapigo yasiyo ya kawaida ya moyo🡆 More