Msaada ni huduma au faraja anayopewa mtu anapokuwa na shida au tatizo kama vile ajali, matatizo ya kifamilia, msongo wa mawazo n.k.
Binadamu wote wanahitaji msaada katika maisha yao, hasa mwanzoni na mwishoni. Hivyo ni muhimu kujenga tabia ya kuwa tayari kuutoa na kuupokea vilevile.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Msaada, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.