Max Kouguere

Max Martial Kouguère (alizaliwa tarehe 12 machi 1987) ni raia wa Afrika ya kati mchezaji mpira wa kikapu ambaye mara ya mwisho alichezea timu ya Phoenix Brussels.

Pia mchezaji wa timu ya taifa Jamhuri ya Afrika ya kati.

Wasifu

Kabla ya kusaini Olympique Antibes msimu wa 2009-10, Kouguère alichezea timu ya Ufaransa ya BCM Gravelines. Mara chache aliona, akicheza kwa dakika 64 pekee katika michezo 11 kakati msimu. Licha ya hayo, Kouguère wa futi 6 na inchi 6 (1.98 m) alipata wafuasi wengi nchini Ufaransa kupitia uwezo wake wa kucheza danki na katika mashindano kadhaa nchini Ufaransa.

Tarehe 23 Septemba 2021, Kouguere alisaini klabu ya Ubelgiji Phoenix Brussels.

Marejeo

Tags:

Afrika ya KatiJamhuri ya Afrika ya KatiMpira wa kikapu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mtende (mti)Barua pepeVita vya KageraZambiaKukuMuundoMwaniUsultani wa ZanzibarPikipikiJohn MagufuliSalama JabirMwezi (wakati)AmaniMnururishoMagonjwa ya kukuOrodha ya milima mirefu dunianiSimba S.C.Andalio la somoWikipedia ya KirusiAlomofuTaasisi ya Taaluma za KiswahiliDiplomasiaJamhuri ya Watu wa ZanzibarMbuniUsafi wa mazingiraKinembe (anatomia)Baraza la mawaziri TanzaniaFatma KarumeKombe la Dunia la FIFABaruaTamthiliaViwakilishiUchawiNyumbaHarmonizeMwarobainiUturukiHekayaBustani ya wanyamaKTausiUbunifuKamala HarrisMkoa wa KageraElimuKiangaziHaki za binadamuOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaKikohoziJangwaNathariMuundo wa inshaNdovuTahajiaTumainiMsamiatiUandishiKonsonantiDiniHakiAurora, ColoradoPink FloydKiburiKata za Mkoa wa MorogoroMkoa wa MaraDar es SalaamMfumo wa mzunguko wa damuAishi ManulaEmmanuel OkwiMimba kuharibikaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaWilliam RutoMwislamuSayari🡆 More